Featured

    Featured Posts


    Social Icons

Loading...

Saturday, 15 August 2015

MIKAO YA MAHABA YAMUUA KIONGOZI WA NCHI

Katika intavyu hiyo, maswali yaliulizwa kwa mtindo wa kupokezana na umakini wa hali ya juu ambapo ‘komediani’ huyo aliweka bayana jinsi ambavyo wasanii wamekuwa wakibadilishana wapenzi kama siti za daladala huku ugomvi, majungu na unafiki vikichochewa na tabia hiyo.

Bila kuonesha woga wala wasiwasi, mwenyekiti huyo alikiri kuwa wasanii wengi wenye majina makubwa ndani na nje ya Bongo Muvi, ndiyo vinara na wafuasi wakubwa wa mtandao huo mchafu wa ngono.
Aliongeza kuwa, ilifika wakati klabu hiyo ikawa inatafsiriwa kama uwanja wa kugawana wapenzi kama mbegu za mahindi

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Pages

Pages

Kategori

Featured Posts

Popular Posts

float ads

Search (Don't Edit)

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Translate

© Copyright YALIYOTUFIKIA HIVI PUNDE
Back To Top