Umati wa Wakazi wa Jiji la Mwanza ukiwa umefurika kwa wingi katika Barabara inayoelekea kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa Mgombea Urais na Makamu wake wa UKAWA kupitia CHADEMA na kutambulishwa kwa wananchi, Agosti 16, 2015. Picha na Othman MichuziMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Mke wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa. Mama Regina Lowassa akiwasalimia wakazi wa Jiji la Mwanza, leo Agosti 16, 2015, wakati wa Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) na kutambulishwa kwa wananchi, Agosti 16, 2015.
No comments:
Post a Comment